Ijumaa, 9 Februari 2018

Wanachuo ambao ni walimu tarajali wakipata semina katika ukumbi wa FR.FRANKEN Kwaajili ya maandalizi ya BTP ya mwezi February 2018 ili kupata mafunzo toshelevu ya kimaadili na kitaaluma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

UTAWALA WATOA MAELEKEZO YA MWISHO KUHUSU BTP

Na mwandishi Omben Stony   Mkuu wa chuo(Principle), Makamu(Vice principle), Muadili mkuu(Dean of students) na Muadili msaidizi(Vice d...