Jumamosi, 25 Novemba 2017

Karibu MOTCO

KARIBU KATIKA CHUO CHA UWALIMU MOROGORO .

MUONEKANO MZURI WA WANA CHUO CHA UWALIMU     MOROGORO.

NI CHUO KINACHOZALISHA WALIMU WENYE UJUZI NA MAARIFA MAKUBWA KIELIMU NA KIJAMII

  WAZIRI WA HABARI NA MAWASILIANO CHUO    CHA   UWALIMU MOROGORO 2016/2017

     Mh.OMBENI MWASHIUYA

Ni furaha yangu kumshukuru Mungu kwa uzima na afya anayozidi kunipatia.Lakini pia namshukuru Mh.Raisi wa chuo cha uwalimu Morogoro Ndg.SAMWEL O. LALA pamoja na Mkuu wa chuo pamoja wakufunzi wote kwa ujumla kwa kuona kwamba nafaa kuwa na dhamana ya wizara hii na ni kweli naweza.

Ombi langu kwa wanachuo wenzangu ni kuendelea na umoja na mshikamano mkubwa ili ndoto zetu zitimie kama tulivyo kusudia.

Ahsante

PLEASE,,,,LIKE, SHARE  NA  SUBSCRIBE

UONGOZI WA SERIKALI YA WANACHUO MOTCO

UONGOZI WA SERIKALI YA WANACHUO KATIKA CHUO CHA UALIMU MOROGORO 2016/2017

RAISI WA CHUO CHA UWALIMU MOROGORO (MOTCO) 2016/2017
Mh.SAMWEL O. LALA 

Makamu wa raisi 
Mh.NUSSURA HASSAN

 

Waziri mkuu
Mh.ADAM CHONE

 Naibu waziri mkuu 
Mh.AMINA  AMIR 

 Waziri wa afya 
Mh.ABDUL O. SADALLAH

 Naibu waziri wa afya 
Mh.FARAJA  MSHANA

 Waziri wa miradi na uchumi 
Mh.JORAM  MUSIBA 

 Naibu waziri wa miradi na uchumi 
Mh.NEEMA  PETER 

Mh. SAMWEL 

Naibu waziri utunzaji na usimamizi wa vifaa vya chuo 
Mh.NEEMA  LOTI 

Waziri wa maji na matengenezo 
Mh.SALIM  MKONGO


Waziri wa elimu 
Mh.Aidan Deusdedith

UTAWALA WATOA MAELEKEZO YA MWISHO KUHUSU BTP

Na mwandishi Omben Stony   Mkuu wa chuo(Principle), Makamu(Vice principle), Muadili mkuu(Dean of students) na Muadili msaidizi(Vice d...