Jumamosi, 25 Novemba 2017

  WAZIRI WA HABARI NA MAWASILIANO CHUO    CHA   UWALIMU MOROGORO 2016/2017

     Mh.OMBENI MWASHIUYA

Ni furaha yangu kumshukuru Mungu kwa uzima na afya anayozidi kunipatia.Lakini pia namshukuru Mh.Raisi wa chuo cha uwalimu Morogoro Ndg.SAMWEL O. LALA pamoja na Mkuu wa chuo pamoja wakufunzi wote kwa ujumla kwa kuona kwamba nafaa kuwa na dhamana ya wizara hii na ni kweli naweza.

Ombi langu kwa wanachuo wenzangu ni kuendelea na umoja na mshikamano mkubwa ili ndoto zetu zitimie kama tulivyo kusudia.

Ahsante

PLEASE,,,,LIKE, SHARE  NA  SUBSCRIBE

Maoni 2 :

  1. tabusa kaka mbona umenuna

    JibuFuta
  2. Hello nilikuwaa nauliza nawezaje kupata form za apo chuon kwenu

    JibuFuta

UTAWALA WATOA MAELEKEZO YA MWISHO KUHUSU BTP

Na mwandishi Omben Stony   Mkuu wa chuo(Principle), Makamu(Vice principle), Muadili mkuu(Dean of students) na Muadili msaidizi(Vice d...